Samatime Magari
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 119
- 457
Raia zinaroga mpaka machine ya Mzungu imetoka U German, Picha limeanzia Simiyu huko maeneo ya Nkololo Bariadi ndani ndani. Kijana wa Kisukuma kapiga mipunga yake akataka AUDI A4 akavimbe barabarani Yaliyomkuta sasa funga mkanda twende pamoja.
Nikujulishe tu Nkololo ni Kijiji ktk Wilaya ya Bariadi kina wakazi Takribani 20,000, Kinapatikana katika Mkoa wa Simiyu, Huu ni Mkoa Mpya huu umemegwa kutoka Shinyanga. Wakazi wa maeneo haya wengi ni Wasukuma, Wanyiramba, Wanyaturu.
.
Shughuli zao za kiuchumi ni kilimo cha pamba, mahindi, mihogo na ufugaji, Huku ni karibu na anakotoka organizer wa deni la taifa. Naamini Ushapata picha ya eneo tunalongelea hapa nisikuchoshe twenda kwa kilichokuleta hapa.
.
Ndio nikurudishe nyuma kidogo 12/3/2023 Kijana mmoja kwa jina la Masanja alinicheki. Lengo la Masanja alikua anataka kuagiza gari kati ya Mercedes Benz C Class, BMW X1 au Audi A4, So akawa anahitaji ushauri kati ya hizi gari tatu ipi iko safi na itamfaa...
.
Lakini pia alitaka kujua na gharama ya kuagiza hizi gari zote tatu. Ushauri ukatolewa pale kwa Kuangalia reliability na uhimilivu wa gari husika + upatikanaji wa vipuri na mafundi. Kwenye cost za vipuri tukamwambia almost ziko same WhatsApp group tofauti ni ndogo...
.
Masanja Mzigo ulikuwepo so yeye kikubwa akawa anataka apate comfort luxury na speed ya ngiri mkia juu. Mazungumzo yakawa marefu to make LONG story short alikuja ku opt AUDI A4 2.0L TFSI Na mzuka ukawa mkubwa zoezi la kusubiri likawa zito ikabidi gari itafutwe hapa hapa.
.
Ikapatikana chuma moja mpya ila imesajiliwa number EF ilikua ya lishangazi Kijana wake anauza. Masanja akasema sisi tusimamie kila kitu maana Imani yake iko kwetu [ukaguzi na ununuzi] akatuma mpunga.
.
.
Mambo yakaenda vizuri gari ikakaguliwa iko safi malipo yakafanyika gari ikaenda Simiyu. Chuma imefika salama Wazee wakaipa kama Miezi Mitatu tu mapicha picha Yakaanza. Goma likaanza kutoa moshi mwingi mixer kubugia mafuta kama msabato anashusha fanta orange na makande.
.
Zikaja miss za kibabe sana chuma inapanda mlima kama Passo ina mzigo vile. Masanja ikabidi aende Mwanza kutafuta suluhu ya hayo matatizo kufika Mwanza gari ikaangaliwa. Baada ya ukaguzi wakamwambia Plugs zimekufa same to Fuel Pump control relay.
.
Masanja akatucheki vifaa vikatafutwa vikatumwa vikafungwa chuma ikaa sawa tukamshauri alivyovitoa avitunze. Mwamba akarudi Simiyu wakati anarudi gari ikaanza kutoa moshi mweusi tena kwa wingi. Plugs zikawa hazichomi tena gari inakosa nguvu + engine ikaanza kupata joto na kukawa na leakage ya coolant..
.
.
Hapo kwa dashboard taa zinawaka kama zote mpaka Masanja ikabidi anunue diagnosis machine aisee. Ikaonekana tena plug tulizotuma ni fake plus ikahitajika water pump. Water pump ikapelekwa hola hamna kitu fundi akasema ni fake ikabidi iagizwe nyingine tena ikafungwa..
.
Plugs tukashauri arudishe zile za mwanzoni tuagize zingine dubai au german kwenyewe. Ikarudishwa plugs zake za zamani plus kufunga pump nyingie ikaacha kuchemsha ila Gari joto likawa kubwa sana na fan zinafungua muda wote non stop.
.
Na issue ya mafuta ikawa tatizo yani wese linakata utafikiri unaendesha Caterpillah. Gari imekua na heka heka mpaka Mwezi September likitoka hili linakuja lile mixer kukosa ajali za hapa na pale. Masanja simu zikawa nyingi kwetu maana sisi ndio tuliopitisha gari na kusimamia kila kitu..
.
.
Binafsi ikatuwazisha pia na ikawa inatunyima raha kama ofisi. Sasa juzi namcheki kwa whatsapp kujua status ya gari iko vipi kumbe mambo yamekaa vyema. Akanijibu nitakupigia, katika maongezi yale mambo yalikua hivi..
.
Akanambia wakati ananunua hii gari kabla haijaanza kutumia Mama ake alimwambia aioshe. Hapa kwenye kuosha wataalamu mnaweza kutia nyama kidogo. Mi nitaeleza kama nilivyosikia tu kutoka kwa Masanja.
.
Masanja anasema YEYE baada ya kuambiwa hivyo hakuamni katika mambo hayo so akapiga kimya. Akakutana na Mzee mwingine pia akaelezea shida ya gari yake [inavyosumbua ]akashauriwa kuiosha tena..
.
.
Akaona sio case ikabidi aanze zoezi la kutafuta mtu wa kuosha gari. Akapatikana Mwamba mmoja yuko Kigoma Kijiji cha Makuka mwisho wa reli. Mwamba akasema gharama zake, plus apewe nauli ya kuja na kurudi, malazi na mahitaji aje kufanya kazi.
.
Nauli ikatumwa Mwamba akaja akaona gari akasema kila kilichokuja na gari kirudishwe kama kilivyokua. Vikarudishwa gari ikaoshwa chuma ikarudi katika hali yake kama ilivyotoka Dar es salaam. As we speak Masanja anasema chuma iko safi amepiga nayo Safari za kutosha.
.
Imepiga route za Simiyu Mwanza,then Musoma to Nairobi na iko safi...Hii imenifikirisha sana unaweza kuwa Unasumbuka na gari kumbe kuna wadau sehemu flani wamebonyeza button tu..Wataalamu wa mambo hivi mkisema gari kuosha huwa mnafanyaje?
.
.
Maana huku kwa Mwamposa huwa naona wanaweka wakifu. Yani mtu akivuta chuma anakipeleka kwa mtumishi wa Mungu inaombewa mwovu asilete shida. Hopefully umejifunza kitu maana hili linaweza fanyika kwa jambo lolote lile.
.
I recall incident moja mwamba alikua ananyimwa chakula na mke wake. Kumbe kila akiomba Mama anasikia Jamaa anaomba mtandao [goti]. Baada ya maombi mengi ndo mambo yakawa sawa chakula kikatolewa.
.
Maisha bana yana mambo mengi sana upande wa pili ni muhimu kuwa makini. Hujawahi kuona uko safari sehemu yenye speed limit jamaa anapita tu. We ukimuiga tu unapigwa mkono unaishia kusema jamaa atakua askari huyu.
.
Tuendelee kuboresha uhusiano wetu na Mungu tu kuwa salama. Kama unahitaji kuagiza gari njoo tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore, Thailand etc..
.
Dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa discount nzuri so upande wa bei nao uko safi..Pia tuna uzoefu wa kuspot gari nzuri za viwango kwenye sites za Magari.
.
.
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama kwa pesa yako na unaojali muda wako. Simply njoo WhatsApp au ofisini Posta Mpya MUA House 4th Floor mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri...
.
Kama uko mkoani na unahitaji Kuagiza gari njoo, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri pia then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice..
.
.
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo. nA Kama hujatufollow katika Kurasa zetu za jamiii @samatimemagari/cardelaers follow Chap ili next time usipitwe na madini kama haya..
.
.
Pia kama unatarajia kuagiza gari siku za mbeleni na kuwa karibu na familia hii save this number. Then text us Jina lako na unakopatika tutakusave pia kwa contact list.
.
Utapata access ta huduma zetu za kiushauri kama familia bure..Pia utaona offers tunazotoa kwa wanafamilia na kujua bei na option za magari mbali mbali..
.
NIkutakie siku njema mtu wa Mungu.
Samatime Magari
0714547598