Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #21
soka kipindi hicho sisi wasichana baba anatuambia tutwange mahindi wakati wanaume wanasikiliza mpira redioni, na sisi tunasogeza vinu vyetu na mtwangio karibu na redio tusikilizeMarehemu wakili kuwayawaya Steven-Shabiki wa Simba balaa