Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Kuna samaki anaitwa darubini ya mbaoHuu Uzi ungeutumia kutangaza vivutio vilivyopo huko ingependeza zaidi
Kabisa ndgTunafeli au niseme tumefeli kuifanya iwe product inayouzwa.
Tanganyika tunafeli sana tuna kisiwa cha kitalii kizuri lakini hatukitangazi , vivutio vilivyopo mafia havina utofauti na Zanzibar lakini hatuweki juhudi kukitangaza kisiwa cha Mafia , sina maana ya ubaguzi mimi ni muumini wa Muungano ila tu nakumbushia pia vivutio vyetu vya bara huku