Hivi tumeungana nini hasa?Ndio ufahamu kuwa hizi ni nchi mbili zilizomo kwenye seti ya muungano au haujaenda shule na kusoma hesabu za seti. halafu wazenji waache wamekaa kama watoto wadogo ukiwagusa tu makelele kibao.Sa ivi ata wakisema hawapati msikilizaji huko UN makalatasi yao yamewekwa ndani ya draws.
Katiba mpya itudi ili tufanye marekebisho.Nasema uongo ndugu yangu??.Shit hole kabisa.
Sio hilo tu, yako mengi yanakera katika huu muungano.
Kwa uroho na tamaa ya serikali ya CCM ndio inasababisha kukatwa mikodi mara2, wanapokata kodi mara 2 inamaana inayoumia zaidi ni Zanzibar maana ni kama wanafukuza wateja na wanalazimisha watu wasinunue bidhaa Zanzibar.Ndio ufahamu kuwa hizi ni nchi mbili zilizomo kwenye seti ya muungano au haujaenda shule na kusoma hesabu za seti. halafu wazenji waache wamekaa kama watoto wadogo ukiwagusa tu makelele kibao.Sa ivi ata wakisema hawapati msikilizaji huko UN makalatasi yao yamewekwa ndani ya draws.
Kwa uroho na tamaa ya serikali ya CCM ndio inasababisha kukatwa mikodi mara2, wanapokata kodi mara 2 inamaana inayoumia zaidi ni Zanzibar maana ni kama wanafukuza wateja na wanalazimisha watu wasinunue bidhaa Zanzibar.
Hata kiwanda cha maziwa cha baharesa wameforce kihamishwe kiwekwe bara but baharesa kakataa kwa sababu bara kuna viwanda vingi but zenji hakuna so kuwekwa znj hicho kiwanda pia kuna watu imewauma yaani hawataki kabisa.