Tanganyika Tunapigwa na kitu kizito, tujitafakari.

Tanganyika Tunapigwa na kitu kizito, tujitafakari.

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.

Wale wanaoandamana kwa amani, ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.

Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.

Hivyo, watakaoumia,kupsta ulemavu, kufungwa na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi?

Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?

Ni jambo la kushangaza kuona iongozi wawili, wansotokana na watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu wanaotoka na kundi lenye watu milioni 60.

Hii si sawa!

Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali hali hii.
Muungano unatuponza!
 
Back
Top Bottom