PostGE2025 Tanganyika yageuka Saudi Arabia, uongozi wa kifalme

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Halafu kuna ng'ombe zitakuja kusema eti mnamchukia kwa sababu ya dini na uzanzibari wake!! Yaani unaifanya nchi isiyo kuhusu kama mali yako, halafu wenye nchi tunyamaze tu kimya!

Unachukua pesa za walipa kodi wa Tanganyika, unaenda kujengea nchi yako ya Zanzibar! Halafu Watanganyika tunyamaze tu! Unateua watu wa familia yako na Wazanzibari wenzako lukuki kwenye idara nyeti za Tanganyika kwa maslahi yako binafsi, Watanganyika tunyamaze tu!

Unateka na kuwaua Watanganyika kupitia genge lako la siri la kihalifu! Unawafunga Watanganyika mfano Tundu Lissu kwa kesi ya uongo, unawatengezea zengwe Chadema kufanya shughuli zao za kisiasa!

Tukisema tunaonekana tunakuchukia kwa sababu ya dini yako, na pia uzanzibari wako! Huu ni upumbavu usio vumilika.

Gen Z, kama vipi malizieni tu kazi iliyobakia hiyo D9. Kuna mambo haya vumiliki. Wakati nyinyi vijana mnapotaabika kwa kukosa ajira! Kuna mtu amewapa wanafamilia wake wote ajira, pasipo kuwa hata a tone la aibu! This is favourtisim. Ng'oeni wahuni wote ili nchi ipone.
 
i blessed the day Wamisionari walivyotia mguu hapa kwetu na kutuletea habari njema ya Christianity, vinginevyo leo hii wote tungekuwa watumwa, hakuna elimu, isipokuwa madrasa kukariri kurani na elimu ya western ingebakiwa kwa wafalme na familia zao.
watu wenyewe ndio hao kama mnavyowaona, hata punje ya aibu hamna, unamteua na kumwapisha mwanao kwenye nchi ya ''kidemokrasia''?

Christianity imetuokoa, tena sana tu jaribu tu kufikiria kwa makini utaliona hilo, kwani hata lower class muslims wamefaidika na ujio wa Christianity hata kama hawataki kukubali ...
 
Abdul bin Amir Al khatoum

Mohamed bin Mchengerwa Bin Al khatoum


Haya malizie wengine hao familia ya Abu Dhabi
 
Upumbavu umekujaa ww sio bure
 
Ndio maana Tulia ameamua kukaa kwa kutulia baada ya kutulizwa na watulizaji.
 
Kazi tunayo wallah watanganyika wazawa tunateseka lakini wahamiaji haramu wananeemeka kwa kujipatia ajira na kulipwa kwa kodi zetu sisi kazi hatuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…