Tanganyika yetu hiyo yarudi kwa kishindo

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
990
View attachment 129536

Kumbuka hii ndiyo bendera yetu tuliyoikosa (miss) kwa kipindi kirefu sana sasa. Nzuri na inapendeza. Mtikira alikuwa akiinadi na hata pale mlimani (saa ya ukombozi ni sasa) aliungwa mkono sana kwa kuitetea. Sasa hiyo jaji Warioba katurejeshea. Ninahitaji bendera za kutosha ili nikatumie kwa kampeni za uchaguzi 2015. Najua watu kadhaa CCM na CDM hawapendi eti kwasababu nguvu ya rais inapungua kutawala Zanzibar na wao walijipanga kuupata urais huo hata kwa kuhonga. Karibuni tusherehekee kurudishiwa uhuru wetu kamili (bendera na wimbo tunavitaka ili rais wa Tanganyika abebe 2015) na siyo kusubiri 2020.
 
Mi napendekeza tuitie nakshi za rangi nyekundu kwajl ya kuwaenzi wapgania uhuru na haki ambao walitutoka ktk harakati za ukombozi. Watu kama Dr Mvungi, Mkwawa, Bushiri,Kinjengitile Ngwale, Nyerere etc they are remarkable legendaries.
 
Tatizo letu watanganyika tunachelewa sana kuanza mchakato: nani ameshaleta mashairi ya wimbo wa taifa?, wasomi kama Mvungi aliyeanza kutengeneza katiba mpya kabla JK hajamteua wako wapi? Vyama vya siasa mmeliona hilo likija? Tanganyika nchi yangu huru tulikukosa sana
 
I have been waiting for you for so long my TANGANYIKA! Eventually you are on the way back, can't wait to see you!


Changamkieni fursa wajasiriamali, wapi T-shirts za Tanganyika?


TANGANYIKA WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!
 
Ha ha haa,
hati ya kusafiria, kitambulisho cha raia wa Tanganyika.
Ni ngumu mkuu kuwa na hati ya kusafiria ya Tanganyika manake uraia ni wa Tanzania ila utaifa ni wa Tanganyika na Zanzibar so hakutakuwa na hati ya kusafiria ya Tanganyika au Zanzibar. Tutatumia ya Tanzania sema tu unaweza kuwa na uraia wa nchi mbili kama kuwa mtanzania na kuwa Mkenya kwa wakati huo huo!!!!
 

wimbo mpya wa n? Hu vlio nan n wa tanganyika na c wa tanzania
 
Leo kwakweli hii nimeipenda wooote tuimbe wimbo mmoja tanganyika oyeeeeeeeee
 
!
!
vitambulisho sio jambo la muungano....hahahahahahahaha




 
Huu tuanzie kama wimbo wa taifa wa mpito wakati tukifanya mchakato wa wimbo wa kudumu.
Ila jazia viitikio mkuu.
karibu TANGANYIKA WANGU, NILIZALIWA HATA SIJAKUKUTA NYUMBANI, NILILELEWA NA BABA TANZANIA NA MAMA WA KAMBO ZANZIBAR, KARIBU SANA MAMA ANGU TANGANYIKA, WANAO BADO TUNAKUHITAJI SANA
 
Huu tuanzie kama wimbo wa taifa wa mpito wakati tukifanya mchakato wa wimbo wa kudumu.
Ila jazia viitikio mkuu.

mama wa kambo katuchosha, kila siku haachi kulalamika eti baba anatupendela, rudi nyumbani kwako mama TANGANYIKA wakati wako nasikia nyumba hii ilikuwa na amani
 
Kule Zenji naambiwa Vuai (Siyo waziri) kakataa serikali tatu in the name of CCM, huu mwaka watahama nchi tu, piga ua Tanganyika lazima irudi. Wasiotaka wahame nchi!!!!

Sio kuhama tu. Wasiotaka wajinyonge maana ni hakika Tannganyika inarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…