Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 990
View attachment 129536
Kumbuka hii ndiyo bendera yetu tuliyoikosa (miss) kwa kipindi kirefu sana sasa. Nzuri na inapendeza. Mtikira alikuwa akiinadi na hata pale mlimani (saa ya ukombozi ni sasa) aliungwa mkono sana kwa kuitetea. Sasa hiyo jaji Warioba katurejeshea. Ninahitaji bendera za kutosha ili nikatumie kwa kampeni za uchaguzi 2015. Najua watu kadhaa CCM na CDM hawapendi eti kwasababu nguvu ya rais inapungua kutawala Zanzibar na wao walijipanga kuupata urais huo hata kwa kuhonga. Karibuni tusherehekee kurudishiwa uhuru wetu kamili (bendera na wimbo tunavitaka ili rais wa Tanganyika abebe 2015) na siyo kusubiri 2020.