Tanganyika yetu hiyo yarudi kwa kishindo

hivi Tanganyika maana yake nini,nakumbuka hata Nyerere aliwahi kusema hajui maana yake,kama kuna MTU anajua maana atujuze .Kama vipi tutafute Jina jingine
 
Na mafuta wanayoringia zanzibar yamepatikana Tanga na K'njaro...
 
karibu TANGANYIKA WANGU, NILIZALIWA HATA SIJAKUKUTA NYUMBANI, NILILELEWA NA BABA TANZANIA NA MAMA WA KAMBO ZANZIBAR, KARIBU SANA MAMA ANGU TANGANYIKA, WANAO BADO TUNAKUHITAJI SANA

Teh teh teh teh,ahaaa haaaaaa umetisha Mkuu.
 
Inasemekana jina Tanganyika lilipendekezwa na muingereza mmoja alikuwa ni kiongozi Wa kijeshi mwaka 1921..labda kwa sababu wakoloni waloweka
 
Makazi yao Tanga na kwa kisambaa nje ya Tanga wanakuita nyika..yawezeka kuna lahusiano.
 
Ahsante Chadema , Ahsante tume ya Warioba kuirudisha Tanganyika yetu....
 
I'm so happy kwaajili ya kurudishwa kwa nchi ya Tanganyika....hata nikifa leo basi nitajivunia kuishi ktk ndoto za kweli za kupata nchi yetu bora. Nilizaliwa na Baba mzazi Tanzania na kulelewa na Mama wa Kambo, Z'bar, sasa Mama mwenye Watoto amerudi baada ya kukaa uhamishoni/porini kwa miaka mingi.
 
..tunauchukua ule wa kawaida,wazanzibar na muungano watunge wao,wengi wape...

Hahahaaaaa umetisha sasa Muungano ni akina nani mkuu na sisi watanganyika si tupo?
 
I'll be so proud to be recognized from now as a Tanganyikan. Welcome back my beloved country
 
Tupate na Fedha Mpya 🙂

Tanganyika Nakupenda kwa Moyo wote...
 
..tunauchukua ule wa kawaida,wazanzibar na muungano watunge wao,wengi wape...

Wewe wa wapi? mbona Zanzibar tunao wimbo wetu wa Taifa tena kitambo sana. Tafuteni wenu wa Tanganyika taifa lililopotea.
 
Bado sana. Magwanda ya kijani yanakampeni kukataa kwenye kura ya maamuzi.
 
Bora mkuu kwa kumpasha. Mpaka jezi na kocha wanatumia vya Muungano.
 

Ikisharudi nini kitakachobadilika katika maisha yako ya kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…