Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kuhama tu. Wasiotaka wajinyonge maana ni hakika Tannganyika inarudi.
Mchakato wa kutunga wimbo mpya wa Taifa la Tanganyika uanze mapema..
karibu TANGANYIKA WANGU, NILIZALIWA HATA SIJAKUKUTA NYUMBANI, NILILELEWA NA BABA TANZANIA NA MAMA WA KAMBO ZANZIBAR, KARIBU SANA MAMA ANGU TANGANYIKA, WANAO BADO TUNAKUHITAJI SANA
..tunauchukua ule wa kawaida,wazanzibar na muungano watunge wao,wengi wape...
..tunauchukua ule wa kawaida,wazanzibar na muungano watunge wao,wengi wape...
View attachment 129536
Kumbuka hii ndiyo bendera yetu tuliyoikosa (miss) kwa kipindi kirefu sana sasa. Nzuri na inapendeza. Mtikira alikuwa akiinadi na hata pale mlimani (saa ya ukombozi ni sasa) aliungwa mkono sana kwa kuitetea. Sasa hiyo jaji Warioba katurejeshea