Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
I'll be so proud to be recognized from now as a Tanganyikan. Welcome back my beloved country
karibu TANGANYIKA WANGU, NILIZALIWA HATA SIJAKUKUTA NYUMBANI, NILILELEWA NA BABA TANZANIA NA MAMA WA KAMBO ZANZIBAR, KARIBU SANA MAMA ANGU TANGANYIKA, WANAO BADO TUNAKUHITAJI SANA
I hate this name Tanganyika! Am a Tanzanian
wewe utajikuta huna uraia wowote, ngoja Tanganyika irudi halafu wewe unakomaa na never existing Tanzania
Tutaona kwenye 2/3 kama hili neno lenu la kijinga litapitishwa kwenye katiba mpya! Mimi ni Mtanzanian kwanza sipendi jina baya hilo eti Tanganyika! Loo!
Mchakato wa kutunga wimbo mpya wa Taifa la Tanganyika uanze mapema..
Watanganyika ni wengi, 2/3 ya CCM unayoitegemea wewe haina mashiko. All in All Tanganyika is back the land we love!!
Hahaaa kwa haya mashairi yako kama Mtanganyika nakupendekeza uwepo katika timu ya watu watakao tunga wimbo wa Taifa wa Tanganyika.
Ni ngumu mkuu kuwa na hati ya kusafiria ya Tanganyika manake uraia ni wa Tanzania ila utaifa ni wa Tanganyika na Zanzibar so hakutakuwa na hati ya kusafiria ya Tanganyika au Zanzibar. Tutatumia ya Tanzania sema tu unaweza kuwa na uraia wa nchi mbili kama kuwa mtanzania na kuwa Mkenya kwa wakati huo huo!!!!
Mkuu hizi ni implications za yaliyotajwa kwenye rasimu!!!!!!Hili suala limetajwa wapi mkuu. Nimepitia rasimu, nikitafuta hiki kitu lakini sijaona. Kama hutajali hebu tuwekee hapa hicho kipengele.
Kwanza soma Historia na upende asili yako...kuwa tu Mtanganyiko hila badiliko la kwanza. Mengine ni kudumisha mahusiano ya watanganyika (kama wewe mzanzibar; unakumbuka mlianza kumbagua mpemba toka muunguja). Heshima ya kujitawala kwa uhuru kamili wa Tanganyika. Proud (sifa) ya kuwa mtanganyika. Na sasa EAC inanyemelea ardhi yetu, tutakuwa huru kumiliki ardhi yetu na wao waje kuwekeza tu na siyo kuinunua. Tanzania ilikaribisha ufisadi...Tanganyika haikubali ufisadi na kadhalikaIkisharudi nini kitakachobadilika katika maisha yako ya kila siku?