TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

Kila la heri na baraka changamkia kiwanja/viwanja ukiweza.

Yeah nahis. Nitaenjoy.

Kazi kaka, ila mie nilikuwa na mpango wa kuhamia Dom kitambo
Naona kama walinisikia ombi langu
 
Hii ni BREAKING NEWS waache waandike tu
[emoji6][emoji6][emoji6]
Hahahahha hakika leo kuna watu hawatalala wanachat Demiss maana huwa nawalaza vichwa vinaumaa
 
Reactions: BAK
Eti demiss. Haya maneno yanayosemwa hapa ofisini Lumumba kwamba wewe sio mwanamke bali ni mwanaume. Yaani hata mwenyekiti wetu wa chama anajua wewe ni mwanaume. Yana ukweli kiasi gani ?
Ndugu yangu mm ni mwanamke kamili jaman siyo mwanamme
Mwambie mwenyekit aache kusambaza uzushi nitamshtaki
 
Demiss mpenzi usilalamike wala kuumia kuna maisha bada ya kuachana au kuachwa lazima yaendelee sawa mama

Mimi nawatakia tu kila la heri katika maamuzi yenu
Ameeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…