Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuachwa kaachwa Demiss wengine wanaandika magazeti khaaaa jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuachwa kaachwa Demiss wengine wanaandika magazeti khaaaa jamani
Yeah nahis. Nitaenjoy.Kabisa aisee. Kule mnadani kuna nyama tamu sana utafurahia, lakini Dar na Dom wapi na wapi! Pole sana.
Yeah nahis. Nitaenjoy.
Kazi kaka, ila mie nilikuwa na mpango wa kuhamia Dom kitambo
Naona kama walinisikia ombi langu
😂😂😂unadhan mie nalea bas mkuu hapana nalelewa 😩Nitakutafuta tuyajenge. Unaweza kunifaa katika siku za usoni
Demiss mpenzi usilalamike wala kuumia kuna maisha bada ya kuachana au kuachwa lazima yaendelee sawa mama
Mimi nawatakia tu kila la heri katika maamuzi yenu
Halafu ukizingatia wana makubaliano yao waliyowekeana Mungu awasaidie tu[emoji122][emoji122]
Halafu ukizingatia wana makubaliano yao waliyowekeana Mungu awasaidie tu
Si kama alivyosema demiss juu au nimesoma vibaya ngoja nirudiekumbe wana makubaliano
Ndugu yangu mm ni mwanamke kamili jaman siyo mwanammeEti demiss. Haya maneno yanayosemwa hapa ofisini Lumumba kwamba wewe sio mwanamke bali ni mwanaume. Yaani hata mwenyekiti wetu wa chama anajua wewe ni mwanaume. Yana ukweli kiasi gani ?
😂😂😂Mm nimekuwa Madam B tenaaa
Ngoja waona fursa waje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm sitak kucheka