Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Teh tunguli zimembamba mtu mwingineKwa hiyo shemela kahamia makazi mapya cc Heaven Sent
Karibu somewhere hapa Dar upate kinywaji na mziki unaotuliza nafsi+upepo wa bahari tulivu, ndani ya one week utakuwa umesahau kila kitu...Santeeee nimeshapoa
Nashukuru, I do PROMISE YOU, regrets kwangu ni "Void ab nitio"Asante nimekaribia
Wallah nitakuwepo na uzi nitaleta lazima .....nasemaWee tena utadamshi kama yoteee sijui nifanyie Morena au Nashera
Lakin ajue kaka ni anapita tu,si unajua kaoaTeh tunguli zimembamba mtu mwingine
Kwanini?
Kaka yangu yuko single again ninasubiri wifi mpya lakini sina ugomvi na zilipendwa.
Kaka yangu yuko single again ninasubiri wifi mpya lakini sina ugomvi na zilipendwa.
Habari ndo hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]new danga girl [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NAKAZIAKwanini uweke hili tangazo siku moja kabla ya Christmass?! Wanaume wenzangu huu ni mtego.
Nashangaa....πππwanakaba mnooo khaaa mtu ht usidange jamnπΆ...
ππππ everybody looking for a green pastures ati..π.....Nashangaa....
Wanaume waache na sie tudange jamani.
Huwezi jua utaangukia mikononi mwa nani
Kabisa.ππππ everybody looking for a green pastures ati..π.....
Atakuwa anajua ila atajidai kuziba masikioLakin ajue kaka ni anapita tu,si unajua kaoa
Konyo... [emoji35][emoji30][emoji30][emoji23][emoji24]Demiss umeona maagizo kutoka kwa dada yako?
Ila manengelo, usikonde, hawezi pata mawazo, mie mwenyewe nimepigwa talaka na Mung Chris na bado nadamshi....vibe kama loteeeee!!!!
Kwanza bora amekuwa huru...tutazurura nae popote.
Mshana Jr alikuwa anambana bure.....hahhaha