TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

Mdogo wangu Demiss hata usijali wewe kwanza toto dogo na chuchu konzi utapata mwingine na usisite kututambulisha.

Huyu mganga achana nae.
 
Kukubaliana?? Aiseey .
Hivi unaweza kukubaliana kuachana na mtu ambaye ni furaha yako?? Mkuu mapenzi yalishachuja au labda mlikuwa na mutual agreement before.. Unless otherwise ngumu kumeza.
Agiza maji
 
Back
Top Bottom