TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

Ili nililijua toka awali,,toka ile siku ulivyofunga profile ako kiasi kwamba, ukabakisha ID name, na mwaka uliojiunga ..... Hapo ndio nilipojua Umeshaachwa kitambo , so umeamua kukwepa aibu ya "Location 'kwa mshana"......

Pole sana bidada !!!

Ingawa umejitahidi sana kujipa moyo.

Ila ukweli , limekuumiza.

Limekuumiza sababu. Unajua fika, jamaa ataendelea kusasambua bidada mwingine humu alafu wee umeachwa.

Kuachana ni kuachana tu , hainaga cha kuachana vibaya au kuachana vibaya.

Nashangaa, kwann Unaona umeumia. wakat Life style yako humu JF haikusapot wewe kua na Mwanaume ulompata humu wa Maisha ??? . Yaaan Style yako ni ya " mpenzi wa kusaidiana tu".....Kwann umeumia????

Au ndo ile, ktk mabuzi, kuna buzi linahonga alafu linakukaza kwelikweli???

Kaka Mshana Jr. , mrudie huyu mtoto , atapatwa na presha buree mwisho abadili ID!!
 
Looh ktk watu sikutegemea wanafatilia maisha yangu hata kama nanyamba hapa jf ni wewe yani umeongea mambo mengi alafu hakuna point vidole havijauma kucomment licomment lirefuuu halafu halina maana unajisikiaje?

Asante kwa ushauri
 
Mmhhhhh Unadhan et mpaka mtu akufatilie ?? Wala hata .

Siunajieleza ?? Ukijieleza hata mtoto wa chekechekea anajua tu.

Kuna siku ataona hujiiti Mrs ..kuna siku ataona Unajilaumu, kuna siku ataona unalaumu wanaume..... So atajua tu kuna Kitu hakipo sawa.

Ila hauko mwenyewe !! ..... naona umeguswa Jicho. Umefutuka huyooo[emoji23]

Mi nakushikia bango..... Au umesahau ulivonishikia Bango wakat wa Yna????
Umesahau eeeeeehhh[emoji23][emoji23][emoji23]..muone , mgumu kuelewa ,mwepesi kusahau

Nakuzengua bana !! Mchana mwema!!
 
Wale wa kushangilia Demiss kupewa talaka semaa oyooooooooo!

Kuanzia leo mm siyo mke wa mtu nipo single kuendesha gurudumu la maishaa.

Sijaachana kwa ubaya na kalumanzila ila alichokihitaji mm niwe na Kazi nzuri inayoniingizia mshahara niwe katika mazingira ya kujiendesha siyo kutegemea mwanamme .
Baada ya kukamilisha yote hayo kwangu ndio akaniambia amefurahi kuona najiweza kimaisha ndo alichopanga kunifanyiaa hicho.

Inaniuma lakini hakuna namna jamani inaumaaa Demiss miyeee sijui nilie kichagaa ila ngoja nivumilie.

Wale waliokuwa hawapendi mahusiano yangu leo watakunywa biaaa wengine watanyaaaa kwa suruali pooh

Na ndo nimeshaachika sasa nitafanyaje sasa jamani khaaa .

Ila mimi siyo wa kwanzaa jamani ila kwa kuwa ni Demiss naonekana wa ajabuu ila sawa tu nakubali mapovu yoteeeeew.

Nyongeza:
Sitaki maswali jamani mtaniumiza rohoo hata mm nina moyoo sina chumaa.

Iiiih nalia mm jamani naliiiiaaaa iiiiih msione naandika hivi nimejikaza kisabuni iiiiiii jamani iiiiiiih uuuuuuuh jamani mm Demiss nitaringa wapi mm eeeeeeeh iiiiiii

Location: Platnum Mapinga. View attachment 975950

Jibu kutoka kwa mshana:::::

From the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover   
Nothing last forever, we came to this end with mutual respect and understanding... We were friends, then we become lovers... Now we can still be friends...
We had wonderful moments I will never forget them and I will always honor them with undeleted memories....
Zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwako.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Na ndiyo una kashifa ya kuitwa kibibigagula kweli 2019 inakuanzia vibaya..!
 
Mmhhhhh Unadhan et mpaka mtu akufatilie ?? Wala hata .

Siunajieleza ?? Ukijieleza hata mtoto wa chekechekea anajua tu.

Kuna siku ataona hujiiti Mrs ..kuna siku ataona Unajilaumu, kuna siku ataona unalaumu wanaume..... So atajua tu kuna Kitu hakipo sawa.

Ila hauko mwenyewe !! ..... naona umeguswa Jicho. Umefutuka huyooo[emoji23]

Mi nakushikia bango..... Au umesahau ulivonishikia Bango wakat wa Yna????
Umesahau eeeeeehhh[emoji23][emoji23][emoji23]..muone , mgumu kuelewa ,mwepesi kusahau

Nakuzengua bana !! Mchana mwema!!
Khaaaaa kweli wewe mwanamme kiumbo kitabia mwanamke.
 
Hapana, nakutania rafiki yangu, Kalimanzira ni kawaida yake akisha kubabua ukiisha utamu anakutema kama bigijii..[emoji23][emoji23][emoji23].

Mapenzi kama daladala huyu anashuka wengine wanapanda, kuna msemo kuwa KWAKO CHA NINI MWENZIO NITAKIPATA LINI.

Ungekuwa mwanamke wa kariba yangu ningejitosa kwenye huu mchuano mpya ila sasa kama hivyo you're not that kind of woman I could enjoy to be with..[emoji318][emoji318][emoji318][emoji318]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman nilikuwa nalia ila nimecheka
 
Hapana, nakutania rafiki yangu, Kalimanzira ni kawaida yake akisha kubabua ukiisha utamu anakutema kama bigijii..[emoji23][emoji23][emoji23].

Mapenzi kama daladala huyu anashuka wengine wanapanda, kuna msemo kuwa KWAKO CHA NINI MWENZIO NITAKIPATA LINI.

Ungekuwa mwanamke wa kariba yangu ningejitosa kwenye huu mchuano mpya ila sasa ila sasa kama hivyo you're not that kind of woman I could enjoy to be with..[emoji318][emoji318][emoji318][emoji318]
Mm tena nitapata tu bahasha jipya hapahapa jf.
 
Khaaaaa kweli wewe mwanamme kiumbo kitabia mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiambiwaga ukweli, mnahangaika sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu kisa ni mwanamke basi unataka uwe sahihi kuelekea wengine... Lkn wengine wasiwe sahihi kukuelekea wewe hata km ni ujinga.

Bwanaaaaa weee sema yote, ila binafsi nampa pongezi jamaa kwa kukupiga chini

Wanawake wenye midomo. Mnaoongea ongea bila staha ,mnaongea kila lugha, huwa Hamfai hata punje kwa Mahusiano thabiti.

Nyie mnafaa kutumika tu,, na mnatafutwa wakat nyege zikiwa zimepanda.

Ila in a long term ...ni hamfai hata punje !!

Nangoja nimjue Shemeji wangu mpya, mwanamke wa mshana mpyaaa, kisuuu. Mzuriiii, anamakaliooo, anaguuu la biaa, sura nzuriiiiiiii, mtoto haongei saaaaana!!!

"""wee nasikia ulikua unafatwa usiku tu kisa sura na umbo haviendani na Mganga"""
 
Mmmh 🤔🤔🤔
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe tena kwa wivu haujambo mbn ulivyoachwa na Yna hatujasema kasoro zako maana umekamilika kila idara . Haya twende tuendeshe gurudumu la udangaji huwez kushindana na papuchi kamweee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiambiwaga ukweli, mnahangaika sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu kisa ni mwanamke basi unataka uwe sahihi kuelekea wengine... Lkn wengine wasiwe sahihi kukuelekea wewe hata km ni ujinga.

Bwanaaaaa weee sema yote, ila binafsi nampa pongezi jamaa kwa kukupiga chini

Wanawake wenye midomo. Mnaoongea ongea bila staha ,mnaongea kila lugha, huwa Hamfai hata punje kwa Mahusiano thabiti.

Nyie mnafaa kutumika tu,, na mnatafutwa wakat nyege zikiwa zimepanda.

Ila in a long term ...ni hamfai hata punje !!

Nangoja nimjue Shemeji wangu mpya, mwanamke wa mshana mpyaaa, kisuuu. Mzuriiii, anamakaliooo, anaguuu la biaa, sura nzuriiiiiiii, mtoto haongei saaaaana!!!

"""wee nasikia ulikua unafatwa usiku tu kisa sura na umbo haviendani na Mganga"""
Na huo wivuu uliokuwa nao ulikuwa unataman unikule ila hukunipata hapa leo ndo pakooo ongeaa yoteee yan vile vinyongo vyakoo viharisheee vyoteeee kuhusu Demiss ukimaliza nyambaaa ukafie mbeleeee [emoji52][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiambiwaga ukweli, mnahangaika sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu kisa ni mwanamke basi unataka uwe sahihi kuelekea wengine... Lkn wengine wasiwe sahihi kukuelekea wewe hata km ni ujinga.

Bwanaaaaa weee sema yote, ila binafsi nampa pongezi jamaa kwa kukupiga chini

Wanawake wenye midomo. Mnaoongea ongea bila staha ,mnaongea kila lugha, huwa Hamfai hata punje kwa Mahusiano thabiti.

Nyie mnafaa kutumika tu,, na mnatafutwa wakat nyege zikiwa zimepanda.

Ila in a long term ...ni hamfai hata punje !!

Nangoja nimjue Shemeji wangu mpya, mwanamke wa mshana mpyaaa, kisuuu. Mzuriiii, anamakaliooo, anaguuu la biaa, sura nzuriiiiiiii, mtoto haongei saaaaana!!!

"""wee nasikia ulikua unafatwa usiku tu kisa sura na umbo haviendani na Mganga"""
Mapenzi ya wenyewe unayaandikia gazeti?
Chaaa
 
Back
Top Bottom