Tangazo gani la kwenye Luninga/Redio unalolichukia.

Tangazo gani la kwenye Luninga/Redio unalolichukia.

Hii ilishaanzishiwa thread siku nyingi, jaribu kuitafuta humu jamvini.
 
hili la voda, ninyoe hiv, natakaaa uzipige mafuta sijui kitu cha dred. Shenzy kbs nikisikia tu huwa nabadilisha chanel
 
Back
Top Bottom