Tangazo: Jipatie Diaries na Calendar za 2024 kwa ajili ya kampuni/Tasisi/biashara yako

Tangazo: Jipatie Diaries na Calendar za 2024 kwa ajili ya kampuni/Tasisi/biashara yako

Hakuna bei inayofichwa Mzee,Mteja anaehitaji atakuja aseme anachokitaka kama ni diaries au calendar apewe bei,bei zetu zinategemeana na aina au wingi wa bidhaa mteja anazohitaji.
Kwa nini usifanye kama hivi. Wachina wengine alibaba wanakupa price list unapambana nayo.

Nakushauri weka price list, alafu sema kama ipo negotiations
IMG-20231122-WA0001.jpg
 
Mkuu naomba tuheshimiane hii kampuni ni brand kubwa,kama unaona utatapeliwa njoo ofisini kwetu upatiwe huduma na risiti Yako.
Ntand kubwa km cocacola, pespsi, vodacom n.k bei za bidhaa zao ziko known hakuna kubargain
 
Back
Top Bottom