tangazo jipya toka loanboard

tangazo jipya toka loanboard

Joined
Aug 13, 2012
Posts
18
Reaction score
0
bodi ya mikopo imetangaza kuwaonea huruma wale ambao hawajapata mkopo kabisa kwa kuwapa pesa ya accomodation na stationary.wadau hivi ni kwel au wanatupa moyo tu
 
Ndugu mm nmepigiwa smu pia mapema leo amenpa hyo taarifa,labda wengne watujuze
 
Not all just for those with priority course likely to be 1100 students out of 24000
 
Ni kwa wale waliochagua programme zenye PRIORITY then wakawa hajapata mkopo
 
unauliza au unajibu km unajibu ni uongo maana wamesema 17% itakua kwa wale ambao wenye non priority programs

we jamaa soma vizuri taarifa,hiyo asilimia 17% ni taarifa ya awali. Mchakato unaofuata ni wa wanafunzi 1107 na wamechanganua, na wote ni priority. So we ndo unataka kuongopa hapa. Hii ni kwa mujibu wa HabariLeo.
 
tena sio priority only but for those were not allocated loarns due to the failure of submitting incomplete application form
 
Back
Top Bottom