Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,705
jirani yangu mmoja analazimisha kisiwashwe muda mrefu pesa itatumika sana
jirani yangu mmoja analazimisha kisiwashwe muda mrefu pesa itatumika sana
kuna siku hata tutashangaa hivi tunavyotoka kwenda kkuangalia mipira kwa jero, kwani tulijua tutaacha kwenda internet cafe? Nilikua sielewi wakinishangaa wageni wangu kwamba sina net nyumbaninimeikuta hii wavuti.com
tangazo! Kwa wasio na ving'amuzi majumbani mwao!
Tunaonyesha vipindi vifuatavyo na gharama zake kama ifuatavyo:
1- taarifa ya habari tshs 250/=
2- tamthilia ya itv&star-tv tshs 400/=
3- sports bar tsh 300/=
4- watoto show tshs 150/=
5- cartoon tsh 200/=
tafadhali ukija uje na pesa kamili, hatuna chenji.
Ps: Pia uje na mfuko wa kuwekea ndala zako.
wanaofatilia series watavunja kibubuNimeikuta hii wavuti.com
TANGAZO! kwa wasio na VING'AMUZI majumbani mwao!
Tunaonyesha vipindi vifuatavyo na gharama zake kama ifuatavyo:
1- Taarifa ya Habari Tshs 250/=
2- Tamthilia ya ITV&STAR-TV Tshs 400/=
3- SPORTS BAR Tsh 300/=
4- WATOTO SHOW Tshs 150/=
5- CARTOON Tsh 200/=
Tafadhali ukija uje na pesa kamili, hatuna chenji.
PS: Pia uje na mfuko wa kuwekea NDALA zako.