Tangazo kuhusu kikao cha dharura CHAWAWATA

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,532
Reaction score
2,415
Uongozi wa Chama wa wanaume wasiooa Tanzania unawatangazia kuwa kutakua na kikao cha dharura kesho saa 10:00 am.

Ajenda kuu ni kujadili jinsi gani tutaweza kuepuka Upepo mkali wa kisulisuli ambao umetumwa toka mlima wa moto ambao unatutaka tuoe wakati bado hatujajipanga.

Wanachama wote mnatakiwa kufika bila kukosa.

Imetolewa na Katibu
Mr Confidential
 
Members wa "CHAWAWATA" tunahitajika huku[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350].
 
Msisahau kuwaalika na Single Mothers. Manake kazi yenu ni kujitoa wakati nyie ndio Single Fathers.
 
Mh.mwenyekiti kwa heshima na tahadhima nakuomba unyanyuke utufungulie kikao. Asante
 
Nikajua chaputa,


Haya chaputa kila mtu kwao,
Tumekosea njia.
 
Mkuu naomba mrejesho wa kikao mmeazimia nini
 
Agenda 7800/= inputs kwa wasiooa
Waliooa wakachepuka 100000 cash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…