Tangazo kutoka chuo cha uhasibu arusha

Tangazo kutoka chuo cha uhasibu arusha

Sharti la kipumbavu sana hili...........

3. Katika maombi hayo mwanafunzi anaagizwa kueleza
namna alivyoshiriki katika vurugu za tarehe 24 Aprili
2013.
 
mbona haya masikhara jamani?sasa kuna fujo ama vurugu zilizofanyika pale kweli?hivi hawa viongozi wa vyuo wana watoto kweli?hivi wanamjua Mungu?hivi wangekuwa watoto wao wangefurahia?hivi ni lini haya yatakoma tanzania?hivi ni lini viongozi wataacha unafiki kwenye maamuzi kama haya?mbona haya yanatokea tanzania?

Nasikia mkuu wa chuo hiki ni kada wa magamba (aligombea ubunge jimbo la Rorya 2010 kupitia magamba). So guys you can expect everything but rational reasoning from them magambas.
 
duuh wamenivunja mbavu kwa kicheko aisee .. utazani mazuri ..seriously... WATAWALA hili ndilo SULUHISHO la matatizo ya wanafunzi ....hii nchi ya kwetu duuuh ..
uonevu umezidi aisee ..Hii NDIO style ya kudeal na matatizo ya WASOMI wetu SIO.. ..WAJAMENI duuh....
POLENI SANA WAHUSIKA ....
 
Sasa we ishia kusema magamba na masharti ya kijinga badala ya kufanya uliyoelekezwa usipojikuta umebaki mwenyewe wenzio wote watakapokua wanarudi chuoni. Fanya uliyoelekezwa kwa kadiri uwezavyo maana muda ulio nao ni tano tu za kazi. Wewe uliyesimamishwa unaambiwa maombi yapite kwa mkuu wa wilaya unashangaa je aliyeambiwa yapite kwa mhasibu mkuu wa serikali unaionaje hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Chezea mamlaka weye.

Wengine humu wanashadadia tu kwa kuendekeza siasa za magamba na magwanda yaani kilimo na wanavita alafu mwisho wake unabaki kusimamia chaguzi ndogo cha chama chako hata cheti huna. Mfano mzuri muulize Alfonce Lusako akupe uzoefu maana yeye kwa sasa ni mjumbe wa tume huru ya uchaguzi wa CHADEMA student Organization (CHASO). Aliyeshika makali ni tofauti na aliyeshika mpini labda tu awe godizila, zaidi ya hapo ni kupambana mpaka ushike makali weye.
 
Sipendi kuamini ya kwamba mtawala wa kuteuliwa anayo mamlaka hata kuwazidi wasomi. Japo kwa nadra sanaaaaa napenda huhisi ya kwamba uongozi wa chuo unaweza kutumia sababu zitakazotolewa na wanafunzi ili kuwahukumu.
Kila mwanafunzi anapaswa kuwa makini na atakachoandika, la sivyo atakuwa ameandaa mafuta ya kumkaanga, hususani wale walio mrengwa hasi na uongozi (ikiwa kama uongozi ni dhalimu).
Ikiwa kama takribani kila mwanafunzi ataandika barua hivi
"...........wakati wa tukio nilikuwa mjini katika hali ya kupunguza uchovu uliotokana na majaribio. Nilipata habari juu ya kungwa chuo nikiwa hukohuko mjini. Nasikitika sana kwa kuwa matarajio yangu na ya jamii yangu yamevurugika baada ya kufunga chuo, pia sijui nitapata wapi hela za kujikimu, kodi, maji, umeme ikiwa kama muda wa semesta utaongezwa. Nawasihi sana msiongeze siku za masomo......". Je uongozi utabatilisha barua zote???
 
hawa waliokaa kuandaa hili tangazo ni watu wazima na wengine wanawatoto na wengine wanajua kabisa jinsi hali ya maisha ilivyo ngumu. Wanatakiwa kuangalia ni muda gani unaondoka na pesa kiasi gani zinawatoka kwa shida wazazi au walezi ili watoto wao wafikie malengo yao. Hata kama vijana wamekosea ila wajaribu kuangalia kuwa walikua kwenye harakat za kutafuta hali ye mwenzao aliyeuawa kikatili kama kuku na nadhan kama ingekua ni yeye mwanae kafanyiwa ivyo angejiskiaje???
 
haya sasa wamewaadhibu wanapata faida gani??? na je kufanya ivo imesaidia nini kabda???
 
xo mi nataka kujua. je kwa wale wanaotaka kuchkua transcript zao ndo ntolee hyo mpk kieleweke hko chuon au????
 
halafu balaza hilo la chuo linamaprofessa taabu kweli kweli bongo yetu hii. Msomi kukubali kutumiwa kijinga unageuzwa kama pedi za wanawake. Sioni usomi wao zaidi ya maslahi ya matumbo yao
 




4153151.png
 
Magamba bwana akili yaooo yotee imeishia hapo lakin sishangai wangekuwa wameshoma kigodo wanngekuwa na uwelewa kidogo lakin ni ufinyo kidogo wa akili ya kiongozi wao
 
mbona haya masikhara jamani?sasa kuna fujo ama vurugu zilizofanyika pale kweli?hivi hawa viongozi wa vyuo wana watoto kweli?hivi wanamjua Mungu?hivi wangekuwa watoto wao wangefurahia?hivi ni lini haya yatakoma tanzania?hivi ni lini viongozi wataacha unafiki kwenye maamuzi kama haya?mbona haya yanatokea tanzania?

Wanafanya Upuuzi kabisa.
Halafu imekuwa kama format vile. Ilitumika Mazengo that time na baadaye DIT at other time.
Upuuzi nasema tena ni upuuzi tu! Halafu bado hawa watu unatarajia waipende nchi yao wawe wazalendo na mistreatment kama hizi? Tunahitaji wabunge wetu muwatetee hawa watu!

CC: Zitto, John Mnyika HKigwangalla Halima Mdee
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu ukiwa umesoma na ni lecture/professor or whatever halafu ukitoa maamuzi ya kipuuzi kama hayo, wanafunzi wako watakuonaje wakati unawafundisha. Hawa wanafunzi wameathirika kisaikolojia, badala ya kutafuta mbinu nzuri za kupunguza kuathirika kwao, wao wanazidi kuwaangamiza. Kwani uongozi wa hicho chuo hakuna psychologists wa kutoa ushauri? Vilevile kwani vyuo Tanzania viko huru namna, hiyo? hakuna mwongozo wa kisheria juu ya mambo kama hayo ili waupeleke uongozi wa chuo Mahakamani kwa kutaka kuktisha haki zao?
 
Kweli ccm wanapeleka nchi shimoni yote haya kwa sababu ya magesa mulongo!!!!
 
Back
Top Bottom