Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Mwenye kiti usisahau maazimio tuliyofikia kwenye kikao cha Jumuiya ya MabahariaSawa baharia masoko mzee wa promo
Angalia vizuri hilo kufkufuli utaona ufunguoLinauzwa bila funguo ama
SawaAngalia vizuri hilo kufkufuli utaona ufunguo
Wana jumuiya yao ila haijakomaa ipo chini ya uangalizi wa Mabaharia [emoji1]maharia
Mkuu mimi ni baharia nitoe kwenye hili kundiJumuiya ya Mabaharia kwa Kushiriana na jumuiya changa ya Maharia wanakuletea Kufuli Maridhawa za Kufunga PM
Kujipatia kufuli fika kwenye Ofisi za Mabaharia, ama muone Baharia alie karibu nawe bei ni tsh 7800, waweza lipa kidogokidogo mpaka utakapo maliza
View attachment 1194679View attachment 1194680View attachment 1194681, Aidha Jumuiya ya Mabaharia ina wakumbusha Maharia wote waliozaliwa 1990 mwakani watakua na 30yrs
Cc
Beira Boy
Shunie
yna2
Sakayo
Extrovert
Mother Confessor
General Mangi
Cardiovascular
Yeah wewe mbona upo upande wa mabaharia au una shaka na ubaharia wako?Mkuu mimi ni baharia nitoe kwenye hili kundi