Tangazo kwa Maharia Wote

Tangazo kwa Maharia Wote

Huku nyuma hatujaskia mkuu ongeza sauti

Cc Kingsmann

Huku nyuma hatujaskia mkuu ongeza sauti

Cc Kingsmann
tapatalk_1566760564068.jpeg
 
Jumuiya ya Mabaharia kwa Kushiriana na jumuiya changa ya Maharia wanakuletea Kufuli Maridhawa za Kufunga PM
Kujipatia kufuli fika kwenye Ofisi za Mabaharia, ama muone Baharia alie karibu nawe bei ni tsh 7800, waweza lipa kidogokidogo mpaka utakapo maliza
View attachment 1194679View attachment 1194680View attachment 1194681, Aidha Jumuiya ya Mabaharia ina wakumbusha Maharia wote waliozaliwa 1990 mwakani watakua na 30yrs

Cc
Beira Boy
Shunie
yna2
Sakayo
Extrovert
Mother Confessor
General Mangi
Cardiovascular
Hii ndio list ya mabaharia? Asee kazi ipo
 
...nyinyi ndo mnaharibu maana halisi ya mabaharia Kwanzaa mabaharia kwenye nyuzi zetu hatuwatags wanawake au hatufungamani nao kabisa wao wanakomenti tu

kufanya hvyo mtafanya nyuzi zetu zionekane ni za kidada wakati huku ni kiumeni we sio baharia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
 
...nyinyi ndo mnaharibu maana halisi ya mabaharia Kwanzaa mabaharia kwenye nyuzi zetu hatuwatags wanawake au hatufungamani nao kabisa wao wanakomenti tu

kufanya hvyo mtafanya nyuzi zetu zionekane ni za kidada wakati huku ni kiumeni we sio baharia
Uko sahihi baharia
 
Back
Top Bottom