Tangazo kwa Maharia Wote

Hii ndio list ya mabaharia? Asee kazi ipo
 
...nyinyi ndo mnaharibu maana halisi ya mabaharia Kwanzaa mabaharia kwenye nyuzi zetu hatuwatags wanawake au hatufungamani nao kabisa wao wanakomenti tu

kufanya hvyo mtafanya nyuzi zetu zionekane ni za kidada wakati huku ni kiumeni we sio baharia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
 
...nyinyi ndo mnaharibu maana halisi ya mabaharia Kwanzaa mabaharia kwenye nyuzi zetu hatuwatags wanawake au hatufungamani nao kabisa wao wanakomenti tu

kufanya hvyo mtafanya nyuzi zetu zionekane ni za kidada wakati huku ni kiumeni we sio baharia
Uko sahihi baharia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…