Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hiyo kitu ya KDA ilishakufa kabla hata haijaanza, wala hata usiifikirie!!Ninachotaka kujua kwanini viwanja vya kigamboni bado vinauzwa kupitia manispaa ya Temeke na si Kigamboni Development Authority tuliyotangaziwa kupitia vyombo vya habari kwamba imeanza kazi tangu January 2013? Afu maeneo hayo uliyotaja si ndio yaliyoongezwa juzi kwanye mpango mkakati wa Kigamboni new city?