Hiyo kitu ya KDA ilishakufa kabla hata haijaanza, wala hata usiifikirie!!Ninachotaka kujua kwanini viwanja vya kigamboni bado vinauzwa kupitia manispaa ya Temeke na si Kigamboni Development Authority tuliyotangaziwa kupitia vyombo vya habari kwamba imeanza kazi tangu January 2013? Afu maeneo hayo uliyotaja si ndio yaliyoongezwa juzi kwanye mpango mkakati wa Kigamboni new city?
Asante sana mkuu
tatizo ni urasimu wa kupata viwanja hivyo.
Maana kuna watu wameshanza kuuza vocha za viwanja hata kabla ya zoezi la ugawaji kuanza.
Mkuu mimi nilienda pale tar 02/04 na watu walikuwa wengi sana zaidi ya idadi ya form. Wengine walilala pale wakisubiria form. Ni kweli form ziliisha siku ile ile mkuu[/
Nilienda pale Mariam tower fomu zipo
Mamlaka husika ndio itawajibika kuhamisha kwa gharama zao na si mwenye kiwanja. Eneo lililopimwa limefanyiwa survey na lina michoro ambayo inasaidia miundombinu iwe katika mpangilio, kama bomba au nguzo isiyostahili imepita katika eneo/kiwanja chako isivyostahili inaonyesha kuna uzembe ulifanyika ambapo mamlaka husika itawajibika na sio wewe mwenye kiwanja.wadau naomba kuuliza ivi viwanja vya makazi vilivyopimwa kama hivyo ikatokea mteja akanunua kiwanja ambacho let say kimepitiwa na bomba la maji JE gharama za kuliamisha ilobomba zinakuwa chini ya mteja au mamlaka husika ? naomba msaada hapo wataalam wa urban planning / survey/ land management
okay samahani ivi kwa sasa ivi halmashauri nyingi zina pima viwanja na kuviuza Je sheria ya ardhi imelizungumzia ili swala la viwanja vilivyopimwa au kuna muongozo gani wa kisheria ambao unaongoza na kusimamia shughuli nzima ya upimaji viwanja .. samahani kwa kuuliza lkn honest speaking maelezo yako ya awali ndio yamenifanya nisake detail za kisheriaMamlaka husika ndio itawajibika kuhamisha kwa gharama zao na si mwenye kiwanja. Eneo lililopimwa limefanyiwa survey na lina michoro ambayo inasaidia miundombinu iwe katika mpangilio, kama bomba au nguzo isiyostahili imepita katika eneo/kiwanja chako isivyostahili inaonyesha kuna uzembe ulifanyika ambapo mamlaka husika itawajibika na sio wewe mwenye kiwanja.
Ingekuwa imetokea kwenye eneo ambalo halijapimwa au skwata ingeweza kuwa ni wajibu wako kuingia gharama kulihamisha