Tangazo kwa wachaga wote

Tangazo kwa wachaga wote

Mo...course namba 4 na namba 5,hizo nimezikubali wachagga wengi wana hizo degree.....lakini swala la ulevi labda sana kwa watu wa Musoma...

Waulize TBL mauzo mengi wanafanya Tarime au Kilimanjaro na Arusha utapata jibu.
 
Wachaga wote hawaeleweki, lakini ni watu muhimu sana. Masomo hayo ni ya shule ya mshingi. Kama ni utani hapo hukupatia.
 
aika molisa, bwashee hicho chuo kipo wapi tukapate maujusi ni huko mamndenii au?
 
Back
Top Bottom