Tule vipi wakati tumeambiwa vyakula tutavikuta uwanjani?Tangaza kwa wana simba wote
Leo hakikisha umekula na kushiba vizuri
Na ukiona kama unaumwa naomba usiende kuangalia mpira
Sina mengi ya kuwambia ila nitacheka tu kidogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa mkapa hatoki mtu eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] raja Mungu anawaona [emoji24][emoji24][emoji24]
Mi nimekaa paleeee!
Natabiri Simba atapigwa mechi zote za makundi home and away hata sare hatapata hata moja na atashika mkia kwenye kundi lake!
Leo lion mzee [emoji881] atakula 3 bila majibu, magoli yote yatafungwa first half Kisha Raja watajiangusha mno second half hadi mpira utaisha
Ile stori sisi wa kimataifa nyie wa matopeni hatuisikii Tena!!
Yanga mbele kwa mbele!
FFU pia wajazwe uwanjani haya masimba mbumbumbu fc yakifungwa mfululizo kama Leo kipigo Cha pili uzalendo utayashinda yatang'oa viti!Ambulance pia ziwepo za kutosha uwanjani