Tangazo kwa wana simba wote

Tangazo kwa wana simba wote

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Tangaza kwa wana simba wote
Leo hakikisha umekula na kushiba vizuri
Na ukiona kama unaumwa naomba usiende kuangalia mpira
Sina mengi ya kuwambia ila nitacheka tu kidogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa mkapa hatoki mtu eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] raja Mungu anawaona [emoji24][emoji24][emoji24]
 
images (7).jpeg

saa tatu usiku mtakuja na mada za simba wana puliizia dawa vyumbani hawa sio wale Raja tunao wajua sisi
 
Tangaza kwa wana simba wote
Leo hakikisha umekula na kushiba vizuri
Na ukiona kama unaumwa naomba usiende kuangalia mpira
Sina mengi ya kuwambia ila nitacheka tu kidogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa mkapa hatoki mtu eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] raja Mungu anawaona [emoji24][emoji24][emoji24]
Tule vipi wakati tumeambiwa vyakula tutavikuta uwanjani?
 
Mi nimekaa paleeee!

Natabiri Simba atapigwa mechi zote za makundi home and away hata sare hatapata hata moja na atashika mkia kwenye kundi lake!

Leo lion mzee 🦁 atakula 3 bila majibu, magoli yote yatafungwa first half Kisha Raja watajiangusha mno second half hadi mpira utaisha

Ile stori sisi wa kimataifa nyie wa matopeni hatuisikii Tena!!

Yanga mbele kwa mbele!
 
Mi nimekaa paleeee!

Natabiri Simba atapigwa mechi zote za makundi home and away hata sare hatapata hata moja na atashika mkia kwenye kundi lake!

Leo lion mzee [emoji881] atakula 3 bila majibu, magoli yote yatafungwa first half Kisha Raja watajiangusha mno second half hadi mpira utaisha

Ile stori sisi wa kimataifa nyie wa matopeni hatuisikii Tena!!

Yanga mbele kwa mbele!

Sawa Mungu Mgawa riziki
 
Ambulance pia ziwepo za kutosha uwanjani
FFU pia wajazwe uwanjani haya masimba mbumbumbu fc yakifungwa mfululizo kama Leo kipigo Cha pili uzalendo utayashinda yatang'oa viti!

masimba yatafungwa Tena lao yatanuna sana na kurudi nyumbani Huku yakiimba "Zuwena nitampata wapi, Zuwena mwingine zaidi ya yeye, Mtoto alieumbika Tabia za kupendeza" Mda huo mi Niko pale nawa-zoom tu!
 
Back
Top Bottom