Tangazo kwa wana Yanga wenzangu

Waambie Mzee
 
Nabi ndiye kocha kiboko yako. wewe ukiangali ytaalam alifanya Nabi kulifungua goli la Zalan na kuwawatawanya mabeki mpaka magoli ya kipindi cha pili kupatikana matano usiogope lolote amigo. tofauti ya Yanga na Esparence kwa makali ni moja tuu yanga wanapiga tano esparence hupiga tatu baaasi. yanga tishio africa 2022!
 
Yanga tishio Africa 2022! sio sio nyingi tutaiomba serikali mei 22 mwakani iwe mapumziko kwa kupokea kombe la african champs kwa mara ya kwanza east african temams!!!
 
Mimi naongelea ya yanga wewe unaongelea leo.

Al hilal akicheza na timu kali huwa mechi anaweka juaniii.. mwaka huu A Hilal amecheza hatua ya makundi caf champions league.. mechi zake za nyumbani alikuwa anaziweka juani tupu..
Kwahiyo una maanisha Yanga ni timu kali kuliko st George? Maana ilitakiwa Al Hilal waanzie kwa St George kufanya hivyo maana ndio iliyowaonesha wako dalili mbaya toka first leg kwa kutanguliwa na goal mbili bila. Tusiishi kwa kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…