Tangazo kwa wana Yanga wenzangu

Tangazo kwa wana Yanga wenzangu

Winga Morrison, Winga Kisinda …Kumi Stephane Ki, Mbele King Of The Game “Mayele”, Kati Kati Aucho Na Fei, Kushoto Na Kulia Farid Musa Na Djuma, Nyuma Nazima Mwenyewe MVP Mzee Wa Kazi Chafu Na Mwng Wa Nguvu International Defender Dickson Kazi Af Golini Mdaka Mishale Diarra…..HIVI TUNATOLEWAJE? TUNATOLEWAJE KWA MFANO? MAMAEE!! [emoji28]
Waambie Mzee
 
Yeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao

Toka ni zaliwe sijawahi kuona timu ambayo inalazimisha matokeo kama hawa majama au ikiwezekana kabisa kwa jinsi wanavyo cheza hawa majama tusicheze short pass tuwachezee long pass tukipata tuna peleka kule kwa akina kisinda na Mayele

Maana wana speed kitawafanya wawe na uoga wa kupata kama walivyo kuwa wana panga leo
Nabi ndiye kocha kiboko yako. wewe ukiangali ytaalam alifanya Nabi kulifungua goli la Zalan na kuwawatawanya mabeki mpaka magoli ya kipindi cha pili kupatikana matano usiogope lolote amigo. tofauti ya Yanga na Esparence kwa makali ni moja tuu yanga wanapiga tano esparence hupiga tatu baaasi. yanga tishio africa 2022!
 
Yanga tishio Africa 2022! sio sio nyingi tutaiomba serikali mei 22 mwakani iwe mapumziko kwa kupokea kombe la african champs kwa mara ya kwanza east african temams!!!
 
Mimi naongelea ya yanga wewe unaongelea leo.

Al hilal akicheza na timu kali huwa mechi anaweka juaniii.. mwaka huu A Hilal amecheza hatua ya makundi caf champions league.. mechi zake za nyumbani alikuwa anaziweka juani tupu..
Kwahiyo una maanisha Yanga ni timu kali kuliko st George? Maana ilitakiwa Al Hilal waanzie kwa St George kufanya hivyo maana ndio iliyowaonesha wako dalili mbaya toka first leg kwa kutanguliwa na goal mbili bila. Tusiishi kwa kukariri
 
Back
Top Bottom