Sasa mkuu asante sana maana nina vimeo vitatu pale engineering, na tangazo liko wapi? maana nimecheki website hamna kitu
Sup 3?Kweli UD yetu imeisha jamani!
We nawe. Mara Physics teacher mara Engeneer. Tukuweke wapi?
cHa ajAbu nini kweNye sup 3???
Kwani hazinitoshi ?
We nawe. Mara Physics teacher mara Engeneer. Tukuweke wapi?
Hapa kwetu coet ni kawaida mkubwaverly confident!
njoo na wewe usome hapa unakaribishwa sana mkuuu watakuchukua na hautapigwa suppSUP 3 ni nyingi sana;kisingizo kuwa COET ni ngumu so SUP hata zaidi ya 3 eti ni jambo kawaida halina msingi wowote maana kuna vijana wengi tu wamepitia hapo na HAWAKUWA na SUP hata moja hadi wanamaliza!
So kama kuna watu wanaondoka COET hawana SUP why not you?Msingi wa argument yangu unajikita hapo!
Hapa kwetu coet ni kawaida mkubwa
Hv kaka mtu aliesoma BENG (Bachelor of Engineering) kwenye vyuo kam st. joseph, DIT, au MUST akiapply kusoma masters kwenye vyuo kama MIT Anaweza akapata?
By pemgtoonet.com

unashangaa sup 3 kwa coet....mbona kawaida sana mi niliwahi pata sup 5 coet na nikachomoa zote na sasa nakula bata kitaa...ach ushamba

Sijui unatetea madudu gani wewe!Labda unahisi ni ww tu uliyesoma hapo?Sishangai kizazi cha MULUGO kupata sup 5 anyway!

Ukipata SUP 5 COET ina maana huwezi faulu hata admission tu vyuo vya ukweli kama MIT-Boston!
mwaka wa ngapi?
swali ni wamefanya kitu gani cha ajabu mkuu? hao wasio na supp hata moja? impact kwa jamii?, wana-patents, innovations, au chochote te tu au ni makaratasi tu ya chuo...?Kuna vijana wengi tu wamesoma COET wanamaliza bila SUP hata moja,why not him/her?
njoo na wewe usome hapa unakaribishwa sana mkuuu watakuchukua na hautapigwa supp
Mkuu ulisoma course gani? tupia GPA yakoSasa nafanya kazi;kusoma nilisoma zamani hapo!
Kama hukusoma water resourses, structural au electrical njoo ujiunge na mojawapo ya hizo ,sio mbaya ukawa na degree tofauti tofauti kama LuhangaSasa nafanya kazi;kusoma nilisoma zamani hapo!