Tangazo kwa wanaudsm wote kuhusiana na tarehe rasmi ya suplimentary.

Tangazo kwa wanaudsm wote kuhusiana na tarehe rasmi ya suplimentary.

Sasa mkuu asante sana maana nina vimeo vitatu pale engineering, na tangazo liko wapi? maana nimecheki website hamna kitu

We nawe. Mara Physics teacher mara Engeneer. Tukuweke wapi?

cHa ajAbu nini kweNye sup 3???

SUP 3 ni nyingi sana;kisingizo kuwa COET ni ngumu so SUP hata zaidi ya 3 eti ni jambo kawaida halina msingi wowote maana kuna vijana wengi tu wamepitia hapo na HAWAKUWA na SUP hata moja hadi wanamaliza!

So kama kuna watu wanaondoka COET hawana SUP why not you?Msingi wa argument yangu unajikita hapo!

Suplimentary ratiba ni moja kwa campus zote duce, muce na main campus. Disco za duce sijapata taarifa labda uwasiliane na viongozi wa duce.

SUP 3 ni nyingi sana;kisingizo kuwa COET ni ngumu so SUP hata zaidi ya 3 eti ni jambo kawaida halina msingi wowote maana kuna vijana wengi tu wamepitia hapo na HAWAKUWA na SUP hata moja hadi wanamaliza!

So kama kuna watu wanaondoka COET hawana SUP why not you?Msingi wa argument yangu unajikita hapo!
njoo na wewe usome hapa unakaribishwa sana mkuuu watakuchukua na hautapigwa supp

By pemgtoonet.com

unashangaa sup 3 kwa coet....mbona kawaida sana mi niliwahi pata sup 5 coet na nikachomoa zote na sasa nakula bata kitaa...ach ushamba

Sijui unatetea madudu gani wewe!Labda unahisi ni ww tu uliyesoma hapo?Sishangai kizazi cha MULUGO kupata sup 5 anyway!

Ukipata SUP 5 COET ina maana huwezi faulu hata admission tu vyuo vya ukweli kama MIT-Boston!
Hv kaka mtu aliesoma BENG (Bachelor of Engineering) kwenye vyuo kam st. joseph, DIT, au MUST akiapply kusoma masters kwenye vyuo kama MIT Anaweza akapata?

Kuna vijana wengi tu wamesoma COET wanamaliza bila SUP hata moja,why not him/her?
swali ni wamefanya kitu gani cha ajabu mkuu? hao wasio na supp hata moja? impact kwa jamii?, wana-patents, innovations, au chochote te tu au ni makaratasi tu ya chuo...?

Kama hukupata SAPU Ni wewe,Hata vidole havilingani bana

Na ndo mana Sap ikawepo toka enzi,usijifanye we brain,ulibahatika ukapata makarai ukachomoka afu unaleta nyodo

Sasa nafanya kazi;kusoma nilisoma zamani hapo!
Kama hukusoma water resourses, structural au electrical njoo ujiunge na mojawapo ya hizo ,sio mbaya ukawa na degree tofauti tofauti kama Luhanga

Back
Top Bottom