kwa wale wa udsm tarehe rasmi kwa ajili ya suplimentary ni Tarehe 16/09/2013 na sio tarehe 23/09/2013 kama almanac-udsm inavyoonyesha, kwa hiyo ndugu zangu tujipange kwa mashambulizi ya kumuuangamiza adui suplimentary asije akabadilika kua carry over. Mungu atutangulie na kutuongoza.