Thehunk,hii imetoka kongo,niamini mimi.
kama mtu haamini wasiliana nami nitakupa bure ukajaribu hakuna maneno mob.
Jamani hii dawa c ya kunywa ni ya kupaka tu,
Na Huyu anayesema mi muongo na aje mbele ya jamvi hili ili adhibitishe uomgo wangu humu.
Dawa hii haiongezi rutuba za manii Bali kinachofanyika ni kuongeza muda wa kupizi tu.na utakapo pizi manii zilezile zilizomo mwilini mwako ndo kwako nje.
Matatizo haya ktk jamii yetu yapo sana wala sio mageni hapa kwetu.
Hii ni tofaiti na kassongo.
Mkuu wanakubishia kijanjajanja. hiyo makitu ipo nlipoitumia nakumbuka wife alinituhumu nimepitia nyumba ndogo.
Kwa anayehitaji msaada wa dawa ya kiasili itakayomfanya mwanaume achelewe kukojoa ktk tendo la ndoa,mimi ninayo dawa ya kiasili toka kongo iliyo ktk mfumo wa ungaunga itakayoondoa tatizo hilo mara moja.ninatoa bure kwa watu watatu ili waijaribu na waje humu jamii forum kutoa ushuhuda wao juu ya matokeo yake.napenda kuwahakikishia kwamba hakuna utapeli wowote juu ya hili na nitaonana na mtu Ana kwa Ana ili kumpa maelekezo juu ya dawa hii.
Atakayehitaji kujaribu anipm nimpatie namba yangu ya simu.
kama mtu haamini wasiliana nami nitakupa bure ukajaribu hakuna maneno mob.