tangazo kwa wanaume wanaowahi kufika kabla ya wenzi wao ktk tendo la ndoa.

tangazo kwa wanaume wanaowahi kufika kabla ya wenzi wao ktk tendo la ndoa.

Tearish

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
81
Reaction score
31
Kwa anayehitaji msaada wa dawa ya kiasili itakayomfanya mwanaume achelewe kukojoa ktk tendo la ndoa,mimi ninayo dawa ya kiasili toka kongo iliyo ktk mfumo wa ungaunga itakayoondoa tatizo hilo mara moja.ninatoa bure kwa watu watatu ili waijaribu na waje humu jamii forum kutoa ushuhuda wao juu ya matokeo yake.napenda kuwahakikishia kwamba hakuna utapeli wowote juu ya hili na nitaonana na mtu Ana kwa Ana ili kumpa maelekezo juu ya dawa hii.
Atakayehitaji kujaribu anipm nimpatie namba yangu ya simu.
 
mh kutoka kongo .....hapana kwani wakongo wenyewe wanahangaika na za kimasai....
 
Kibhopile,utamu wa mapenzi ni kuridhishana Mbona wanawake wenye pesa zao wanatafuta vijana wa kufikisha kileleni.
 
kama mtu haamini wasiliana nami nitakupa bure ukajaribu hakuna maneno mob.
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni
 
kama mtu haamini wasiliana nami nitakupa bure ukajaribu hakuna maneno mob.

ok kabla sijajaribu niambie
1) je nikinywa hiyo itanichukua muda gani?mpaka mzunguko wa kwanza kukamilika
2) je itaniongezea na wingi wa mabao yani idad
3) kama ndio hapo juu je yatakuwa na virutubisho vyote vya kuweka mimba mana nisiwe napiga bao kumbe povu tu yani hamna chochote kile na isewe nakaa sana then sitoi kitu kabisa yani nakuwa inalala na kuamka lakini haitoi kitu

NB: wewe umetumia kama ndio umeshajaribu na kuona effects zake kwa pande zote mbili yani hasara na faida kwa uthibitisho na niweze kujiridhisha naomba nimuulize huyo mwanamke uliyejaribu nae
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni

kipi kinastaajabisha Sista
a) haya matatizo hayapo kwenye jamii zetu
b) hizi dawa hazipo za kutibu
c) dawa zipo ila huyu muweka thread ni muongo
 
Last edited by a moderator:
Jamani hii dawa c ya kunywa ni ya kupaka tu,
Na Huyu anayesema mi muongo na aje mbele ya jamvi hili ili adhibitishe uomgo wangu humu.
Dawa hii haiongezi rutuba za manii Bali kinachofanyika ni kuongeza muda wa kupizi tu.na utakapo pizi manii zilezile zilizomo mwilini mwako ndo kwako nje.
Matatizo haya ktk jamii yetu yapo sana wala sio mageni hapa kwetu.
Hii ni tofaiti na kassongo.
 
itoke kongo,itoke baharini kama huwezi huwezi tuu eboo,watu tunapika 3 in 1 bila kupumzika.Tatizo lenu vijana mnaendekeza chips mayai zile za american chips pale kinondoni.
 
Jamani hii dawa c ya kunywa ni ya kupaka tu,
Na Huyu anayesema mi muongo na aje mbele ya jamvi hili ili adhibitishe uomgo wangu humu.
Dawa hii haiongezi rutuba za manii Bali kinachofanyika ni kuongeza muda wa kupizi tu.na utakapo pizi manii zilezile zilizomo mwilini mwako ndo kwako nje.
Matatizo haya ktk jamii yetu yapo sana wala sio mageni hapa kwetu.
Hii ni tofaiti na kassongo.

Mkuu wanakubishia kijanjajanja. hiyo makitu ipo nlipoitumia nakumbuka wife alinituhumu nimepitia nyumba ndogo.
 
kipi kinastaajabisha Sista
a) haya matatizo hayapo kwenye jamii zetu
b) hizi dawa hazipo za kutibu
c) dawa zipo ila huyu muweka thread ni muongo

ya mussa mazuri kwa kuwa alikuwa mtume, filauni si unamsikia mwenyewe!!!
 
Huyo utakayempa awe mfano inabd umlipe na hela maana katake risk
 
Kwa anayehitaji msaada wa dawa ya kiasili itakayomfanya mwanaume achelewe kukojoa ktk tendo la ndoa,mimi ninayo dawa ya kiasili toka kongo iliyo ktk mfumo wa ungaunga itakayoondoa tatizo hilo mara moja.ninatoa bure kwa watu watatu ili waijaribu na waje humu jamii forum kutoa ushuhuda wao juu ya matokeo yake.napenda kuwahakikishia kwamba hakuna utapeli wowote juu ya hili na nitaonana na mtu Ana kwa Ana ili kumpa maelekezo juu ya dawa hii.
Atakayehitaji kujaribu anipm nimpatie namba yangu ya simu.

Wa congo wenyewe wapo kibao wanatafuta hizo dawa wewe unakuja na gia ya wacongo
 
Hatari sana dawa kwanini usiipeleke TFDA
waidhibitishe kwanza,wewe unataka umpe
Mtu kama tester je akiharibikiwa dushelele

Utamlipaje Mkuu ? Tatizo lipo ila tiba yako
jaribu kusema kama Mkuu Mziimkavu
labda chukua limao,ama tangawizi
 
Back
Top Bottom