Tangazo la ajira 1650 Wizara ya Afya

Mbona chache? Bungeni na Waziri wa kazi alisema wemetenga nafasi zaidi ya 10,000 👇

 
Hawa wasaidizi wa afya nao lazima wawe wamesajiliwa kwenye bodi flani ya afya? maana naona kuna sehemu unatakiwa kuijaza ktk mfumo wa ajira "council" alafu unaletewa kuselect bodi ya wauguzi na wakung etc.
 
Eeh lazima,soma vigezo vinavyohitajika apo
Ila kwenye category ya wasaidizi wa afya haionyeshi kama anatakiwa awe amesajiliwa kwenye baraza la fya ndio maana nikauliza.kama hutajali nieleweshe anatakiwa ajisajili kwenye baraza lipi ili hali hana hata certificate bali anatakiwa kuwa amesoma afya mwaka mmoja.
 
Hapo nyie hamna Baraza la kujisajiri kwa hyo category...maana hamna leseni yoyote
 
2,100,000.

Yani daktari bingwa wa hospitali ya wilaya na mkoa anazidiwa mshahara na afisa wa TCRA anaeanza kazi.

Mambo ya ajabu sana.
Doh, sio mchezo mkuu. Sasa wakiingiza zile PAYE, PSSSF nk. Inakua mtihani haswa.
Ngoja tuendelee kula za vijiweni hapa mjini
 
Doh, sio mchezo mkuu. Sasa wakiingiza zile PAYE, PSSSF nk. Inakua mtihani haswa.
Ngoja tuendelee kula za vijiweni hapa mjini
Uzuri huwa tunasema kuna security, hata kama ni kidogo kuna uhakika wa asilimia kubwa kukipata tofauti na huku vijiweni ambapo ukipata leo, kupata tena Mungu pekee ndio anayejua.

Hata hivyo kila mtu ana uhuru wa kuchagua kama anaendelea kupigana vijiweni au achangamkie huu ugali mdogo angalau wenye uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…