Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile?

1. Tangazo halina vibe lolote.

2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga?

Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe.

Hopeless kabisa.
 
Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga.Tangazo gani la namna ile?

1.Tangazo halina vibe lolote.

2.Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga?

Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe.

Hopeless kabm
Mpira wa yanga na Simba hauhitaji mbwembwe za matangazo
 
Weeee biloko ya kolia 😂,,vibe lipo pale wamepakizana kwenye pikipiki then jamaa la simba baada ya mechi linaliiiiaaa limeshikiliwa.

mnataka nn wanayanga jaman mtawaua wenzenu sasa🔰💛💚
 
Liwe na vibe ili iweje sasa...nchi haina raha mnyama anachechemea...
Mnyama amevunjwa miguu yote na Waarabu, wanajeshi na wakulima wa alizeti! Halafu mbele yake anakutana na Wananchi wenye hasira kali! Dah! Hawa sasa ndiyo wanaenda kumgeuza kuwa supu.
 
Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga.Tangazo gani la namna ile?

1.Tangazo halina vibe lolote.

2.Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga?

Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe.

Hopeless kabisa.
Hakuna mwana Simba SC mwenye Akili timamu atapoteza muda wake Siku hiyo aende Uwanjani akijua kuna Dhahama.
 
Hakuna mwana Simba SC mwenye Akili timamu atapoteza muda wake Siku hiyo aende Uwanjani akijua kuna Dhahama.
🤣🤣🤣Tuliwaambiwa mnasajili magalasa mkatubeza,Mara mnashusha vyuma,Ulijaza VYUZI kibao humu za kusifia usajili wenu sisi tukawa tunawachora tu.Saivi naona tunaongea lugha moja
 
Back
Top Bottom