Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga.Tangazo gani la namna ile?

1.Tangazo halina vibe lolote.

2.Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga?

Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe.

Hopeless kabisa.
Ka.a hauvutii,UVUTE mkuu
 
KUIBUKA KWA KWA DINI MPYA YA SIMBA NA YANGA.

Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.

Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.

Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.

Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Back
Top Bottom