Matawi yana nguvu sana basi tu hawajayapa kipaumbele pale matawini watu wanakutana Kila siku ,ukiwapa tiketi mbona fasta zinaishaWazo zuri kiongozi
Mpira wa yanga na Simba hauhitaji mbwembwe za matangazoAliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga.Tangazo gani la namna ile?
1.Tangazo halina vibe lolote.
2.Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga?
Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe.
Hopeless kabm
Wiki sasa mgonjwa ana kwikwi tu na haikati.....🤣🤣🤣🤣Liwe na vibe ili iweje sasa...nchi haina raha mnyama anachechemea...
Mnyama amevunjwa miguu yote na Waarabu, wanajeshi na wakulima wa alizeti! Halafu mbele yake anakutana na Wananchi wenye hasira kali! Dah! Hawa sasa ndiyo wanaenda kumgeuza kuwa supu.Liwe na vibe ili iweje sasa...nchi haina raha mnyama anachechemea...
Hakuna mwana Simba SC mwenye Akili timamu atapoteza muda wake Siku hiyo aende Uwanjani akijua kuna Dhahama.Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga.Tangazo gani la namna ile?
1.Tangazo halina vibe lolote.
2.Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga?
Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe.
Hopeless kabisa.
Hatimae ukweli umeusema leo..!! Mtani, kukubali makosa ni sehemu ya suluhisho..!! Hongera sana.Liwe na vibe ili iweje sasa...nchi haina raha mnyama anachechemea...
Na kweli, maana kurudi itakuwa ngumu sana..!!Hakuna mwana Simba SC mwenye Akili timamu atapoteza muda wake Siku hiyo aende Uwanjani akijua kuna Dhahama.
🤣🤣🤣Tuliwaambiwa mnasajili magalasa mkatubeza,Mara mnashusha vyuma,Ulijaza VYUZI kibao humu za kusifia usajili wenu sisi tukawa tunawachora tu.Saivi naona tunaongea lugha mojaHakuna mwana Simba SC mwenye Akili timamu atapoteza muda wake Siku hiyo aende Uwanjani akijua kuna Dhahama.
Sijasema ukweli mtani... 😆 😆 😆Hatimae ukweli umeusema leo..!! Mtani, kukubali makosa ni sehemu ya suluhisho..!! Hongera sana.
Hahahaahaahaahah iwenaaaa....Wiki sasa mgonjwa ana kwikwi tu na haikati.....🤣🤣🤣🤣