Ka.a hauvutii,UVUTE mkuuAliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga.Tangazo gani la namna ile?
1.Tangazo halina vibe lolote.
2.Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga?
Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe.
Hopeless kabisa.
ππππ ubuntu bothoooHahahaahaahaahah iwenaaaa....
Iwenaaaa....wale twarukaaaaππππ ubuntu bothooo
Na kwikwi inauwa..!! Tena akipigwa WIKI hiyo tarehe 20, itakuwa RIP 5imba.Wiki sasa mgonjwa ana kwikwi tu na haikati.....π€£π€£π€£π€£