Tangazo la Dawasa kwa wakazi wa Dar es Salaam lina maana gani?

Tangazo la Dawasa kwa wakazi wa Dar es Salaam lina maana gani?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Inasikitisha.

Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao haueleweki.

Nawatakia Jumatatu njema.

IMG_6834.jpeg
 
Kipi bora watoe taarifa au wasitoe na huduma ya maji ikosekane? Kumbuka nchi hii majigambo ni mengi kuliko uhalisia!
 
Duh..,nimechelewa kupata taarifa sijui yanakatika tarehe ngapi...!!
 
Alafu mnataka kuandaa mashindano ya afcon yafanyike kwenu!!!!
Acheni Tu wakenya watutangulie kimaendeleo
 
Alafu mnataka kuandaa mashindano ya afcon yafanyike kwenu!!!!
Acheni Tu wakenya watutangulie kimaendeleo
Siasa zinaingizwa sana kwenye Michezo hatuwezi. Ila kwakuwa 2025 CCM huenda ikawa imetutoka mambo yatakuwa mazuri.
 
Siasa zinaingizwa sana kwenye Michezo hatuwezi. Ila kwakuwa 2025 CCM huenda ikawa imetutoka mambo yatakuwa mazuri.
Pole Sana,nilibeba haya matumaini kwa muda mrefu tangu 1995,niliyatua 2010 baada ya kung'amua ukweli
 
Unaishi nje ya dar unadai upo dar, kimara maji kila siku,hatuna majaba na madumu ya kuhufadhia maji ndani
 
Back
Top Bottom