P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 640 Reaction score 958 Jul 15, 2024 #1 Inasikitisha. Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao haueleweki. Nawatakia Jumatatu njema.
Inasikitisha. Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao haueleweki. Nawatakia Jumatatu njema.
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Jul 15, 2024 #2 Kipi bora watoe taarifa au wasitoe na huduma ya maji ikosekane? Kumbuka nchi hii majigambo ni mengi kuliko uhalisia!
Kipi bora watoe taarifa au wasitoe na huduma ya maji ikosekane? Kumbuka nchi hii majigambo ni mengi kuliko uhalisia!
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,732 Reaction score 1,093 Jul 15, 2024 #3 Duh..,nimechelewa kupata taarifa sijui yanakatika tarehe ngapi...!!
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Jul 15, 2024 #4 Alafu mnataka kuandaa mashindano ya afcon yafanyike kwenu!!!! Acheni Tu wakenya watutangulie kimaendeleo
Alafu mnataka kuandaa mashindano ya afcon yafanyike kwenu!!!! Acheni Tu wakenya watutangulie kimaendeleo
L lusohoko JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 800 Reaction score 696 Jul 15, 2024 #5 PureView zeiss said: Alafu mnataka kuandaa mashindano ya afcon yafanyike kwenu!!!! Acheni Tu wakenya watutangulie kimaendeleo Click to expand... Siasa zinaingizwa sana kwenye Michezo hatuwezi. Ila kwakuwa 2025 CCM huenda ikawa imetutoka mambo yatakuwa mazuri.
PureView zeiss said: Alafu mnataka kuandaa mashindano ya afcon yafanyike kwenu!!!! Acheni Tu wakenya watutangulie kimaendeleo Click to expand... Siasa zinaingizwa sana kwenye Michezo hatuwezi. Ila kwakuwa 2025 CCM huenda ikawa imetutoka mambo yatakuwa mazuri.
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Jul 15, 2024 #6 lusohoko said: Siasa zinaingizwa sana kwenye Michezo hatuwezi. Ila kwakuwa 2025 CCM huenda ikawa imetutoka mambo yatakuwa mazuri. Click to expand... Pole Sana,nilibeba haya matumaini kwa muda mrefu tangu 1995,niliyatua 2010 baada ya kung'amua ukweli
lusohoko said: Siasa zinaingizwa sana kwenye Michezo hatuwezi. Ila kwakuwa 2025 CCM huenda ikawa imetutoka mambo yatakuwa mazuri. Click to expand... Pole Sana,nilibeba haya matumaini kwa muda mrefu tangu 1995,niliyatua 2010 baada ya kung'amua ukweli
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Jul 15, 2024 #7 Unaishi nje ya dar unadai upo dar, kimara maji kila siku,hatuna majaba na madumu ya kuhufadhia maji ndani
Unaishi nje ya dar unadai upo dar, kimara maji kila siku,hatuna majaba na madumu ya kuhufadhia maji ndani