Tangazo la Dr Mwaka kwenye wimbo wa Diamond

Tangazo la Dr Mwaka kwenye wimbo wa Diamond

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Kama ikitibitika tiba zake ni batili hilo tangazo la Dr Mwaka kwenye wimbo wa diamond itakwaje,vyombo vya habari vitapigaje wimbo wenye tangazo batili?

Au diamond aedit/akate sehemu ya tangazo?
 
Mkuu hilo tangazo hata kama kungekua hakuna mgogoro wa kati ya Dr mwaka na serikali, hicho kipande kisingeonekana kwenye TV yoyote ungeonekana wimbo kama wimbo tu.

Lile ni tangazo liliwekwa kwa ajili ya YouTube tu, angalia mfano wimbo wa Sheta shikolobo kuna tangazo la vodacom mziiki angalia kama lilishawahi kuonekana kwenye TV yoyote wakati wimbo unapigwa na sio diamond aliyeanzisha inshu ya kuweka matangazo kwenye wimbo, hiyo ni inshu ya kawaida kabisa kwenye masuala ya advertisements.

Hongera Mondi kwa kuchangamkia fulsa
 
Hivi kwanin hadi leo hii nyimbo mond hajaiachia kwenye tv na radio?
 
Asante mchiwang'ambaku kwa ufafanuzi mzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanin hadi leo hii nyimbo mond hajaiachia kwenye tv na radio?
Duh! Hivyo enh! Unajua mie haya mambo ya tv nilishasahau! Inabidi afanye fasta kwa ajili ya non-digital population! Na vile ilivyo emiotional, atakamata kila kona.
 
Yaani Viol ujanja wote huo haukua na jibu la hiyo shaka yako?! But all in all, wala usitarajie kwamba eti Mwaka anaweza kupigwa ban... hakuna kitu kama hicho unless kama wataamua kumfanya sacrificial lamb!!! Lazima watu kama akina Mwaka kutoka fields mbali mbali wawepo ili kuuweka uchumi in equilibrium... ngumu kueleweka lakini ndo mfumo wenyewe upo hivyo!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeiona juzi kwenye tv channel 10 au itv sikumbuki vzr.

Ilikuwa chanel ten walipiga kwa mahaba ya dhati kwa Diamond, ila wimbo unaachiwa rasmi kuanzia J3
 
Back
Top Bottom