Kama Tangazo linavyo jieleza..
Shime wakatoliki Tujitikeze kwa wingi kama mahujaji ..
View attachment 2843632
Tukiwa tume toka kuupiga mwingi kwa kuchangia Mavuno kwa zaidi ya Tsh Bilion 4.. sasa tujipige mifukoni kwa zaidi ya milion 7 kila mmoja
Tuka msikilize Baba Mtakatifu.
Tukaone masalia matakatifu.
Tukaone historia ya kanisa letu
Tuka safiri nje ya nchi.
Tukaone ma basilika ya kinhistoria
Tuka jichotee baraka
"
Hii ndiyo imani Yetu.. Hii ndiyo imani ya kanisa letu. Ambayo sisi tuna ona fahari kui ungama"