WABONGO BANA KWAKUKOSOA NDO MANA MTAKUFA MASIKINI....KAMA HAMJUI KANUMBA AMEKULA 86,000,000 (86 MILLIONS) kwa hayo matanganzo na hizo picha...sasa endeleeni kuropoka humuuuu mpaka asubuhi,,, mtaishia kuchangia tuu mwenzenu anakula!!!
ukinichukia shauri yako...ukweli ndo huo ...wabongo wambea!!!!
i hate startimes ...i hate kanumba but i appreciate the guy on his hard work though kuna mpungufu madogo madogo keep it up...
Jamani tusichanganye mambo. Tuongelee tangazo kama lilivyotoka. Ki ukweli pale tatizo si kanumba ni creator wa hilo tangazo. Hata mimi mwenyewe sikuwa nalielewa kabisa hadi mliposoma hii thread. Hivyo wenye tangazo wanatakiwa wachukue ujumbe kutoka kwa wadau na wajaribu kuboresha. Kanumba tukimsema ni kumuonea yeye kaombwa njoo bwana tutangaze. Akaelekezwa fanya hivi na labda na yeye akaongezea basi wenye kumlipa wakaridhika wakalitoa. Hivyo tunapojadili hili tangazo tusimjadili Kanumba kama yeye hata mimi ningepewa hizo pesa ningefanya wanavyotaka wenyewe.WABONGO BANA KWAKUKOSOA NDO MANA MTAKUFA MASIKINI....KAMA HAMJUI KANUMBA AMEKULA 86,000,000 (86 MILLIONS) kwa hayo matanganzo na hizo picha...sasa endeleeni kuropoka humuuuu mpaka asubuhi,,, mtaishia kuchangia tuu mwenzenu anakula!!!
ukinichukia shauri yako...ukweli ndo huo ...wabongo wambea!!!!
i hate startimes ...i hate kanumba but i appreciate the guy on his hard work though kuna mpungufu madogo madogo keep it up...
Kwani Kanumba ana elimu ya advertisement au ni njaa ya kibongo inayomsukuma kutangaza? Umesahau kuwa hata ikulu kuna muigizaji na msanii aitwaye Jaa Kaya au Njaa Kaya?