Tangazo la Kazi: Content Creator kwa Video na Picha

ramskany

Member
Joined
Jun 19, 2024
Posts
12
Reaction score
14
Tangazo la Kazi: Content Creator kwa Video na Picha

Tunatafuta mtu mwenye kipaji na ubunifu kwa ajili ya nafasi ya Content Creator wa Video na Picha. Kazi hii inahitaji mtu mwenye ujuzi wa kuunda na kuhariri maudhui ya kuvutia kwa njia ya video na picha.

Mahitaji:
  • Uzoefu katika kurekodi na kuhariri video na picha.
  • Uwezo wa kutumia programu za kuhariri.
  • Ubunifu na uelewa wa mitindo ya kisasa ya maudhui ya dijitali.
  • Uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi ndani ya muda uliowekwa.

Faida
  • Mshahara: Tsh 250,000 kwa mwezi.
  • Chakula kitapatikana kazini bila malipo

Jinsi ya Kutuma Maombi:
Tuma kazi zako za mfano (video na picha) kupitia WhatsApp kwa namba +255657151577.
 
Nyie mnaosema 250 ndogo na chakula juu mnataka alipwe shingapi?
Huo mshahara wa part time ila sio umfungie mtu ofisini kwako kwa 9-5 job halafu unamlipa 250K. Acheni kucheza na maisha ya watu nyie.

Kama ni rahisi kufanya content we nunua camera nzuri, laptop na uweke adobe after effects ujitengenezee vi clip vyako mwenyewe. Hio laki 250 baki nayo
 
Wakati unalalamika watu wameshapata kazi. Wewe ndio haikufai. Acha kuchezea maisha ya watu, unajua ugumu wa kutokuwa na kazi na kuendesha biashara.

Nunua camera za maana, laptop zenye uwezo, ofisi na mahitaji yote muhimu. Ajiri team ikutengenezee content, uwalipe utakavyo.
 
Hio sio kazi ni kibarua, acha kusifia ujinga.
 
Wakati unalalamika watu wameshapata kazi. Wewe ndio haikufai. Acha kuchezea maisha ya watu, unajua ugumu wa kutokuwa na kazi na kuendesha biashara.

Nunua camera za maana, laptop zenye uwezo, ofisi na mahitaji yote muhimu. Ajiri team ikutengenezee content, uwalipe utakavyo.
Unamlipa mtu hardly sh. 8000 kwa siku nzima halafu unajisifu umempa mtu kazi kisa tu unampa chakula...
 
Nunua camera za maana, laptop zenye uwezo, ofisi na mahitaji yote muhimu. Ajiri team ikutengenezee content, uwalipe utakavyo
 
nipo vizuri katika maswala ya hesabu (uhasibu)na matumizi ya kompyuta,,,, lakini kwa sasa sijafanikiwa pata kazi,,ila najishughulisha na shughuli ndogondogo mtaani hapa tu kama freelancing na biashrara za nguo za mtumba
 
Back
Top Bottom