Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na kutengeneza picha zinazotembea za GIF kwa matumizi ya tovuti.
Majukumu:
1. Kuunda michoro ya 2D na 3D kwa miradi mbalimbali
2. Kudesign "mockups" kwa miradi tofauti
3. Kudesign picha zinazotembea za GIF kwa matumizi ya tovuti
4. Kushirikiana na timu ili kutoa mawazo ya ubunifu
Mahitaji:
1. Ujuzi wa programu za michoro ya 2D na 3D
2. Uwezo wa kutengeneza "mockups" kwa miradi tofauti
3. Uzoefu katika usanifu wa michoro inayotembea (motion design) na GIF
4. Lazima uwe na ujuzi wa kutumia programu zifuatazo:
-Adobe Photoshop
-Adobe Illustrator
-Adobe After Effects
-Blender au programu nyingine za 3D
Umakini na ubunifu
FAIDA
Mshahara: Tsh 300,000
Chakula cha bure kazini
Internet bila kikomo
Bonus kwa utendaji mzuri
Jinsi ya Kutuma Maombi: Tuma maombi yako pamoja na kazi zako za mfano kupitia WhatsApp: +255 657 151 577