Tangazo la kazi la watu wa Mauzo

Tangazo la kazi la watu wa Mauzo

Avs

Senior Member
Joined
Nov 27, 2022
Posts
198
Reaction score
451
Hello,

Natafuta watu wenye uzoefu wa kazi hizi.
-Marketing.
-Sales
Wakiwa jiji la Mwanza watapata kipaumbele. Tuma cv yako. Only shortlisted candidates will be contacted.
 
Hawa ndo wale wanadanganya watu na kuishia kushinda wanatembeza mabeseni na mashibe za kunyolea ndevu kutwa nzima, jua kali, Sola ya viatu kuisha na wanaishia kupewa sh 1000 kwa week....
 
Back
Top Bottom